Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 10:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Wala tusifanye uasharati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka muda wa siku moja watu ishirini na tatu elfu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu 23,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu 23,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu 23,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Wala tusifanye uzinzi kama baadhi yao walivyofanya, wakafa watu elfu ishirini na tatu kwa siku moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Wala tusifanye uzinzi kama baadhi yao walivyofanya, wakafa watu 23,000 kwa siku moja.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 10:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

bali mimi nawaambieni, Killa mtu amwachae mkewe, isipokuwa kwa khabari ya asharati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.


Ikimbieni zina. Killa dhambi aifanyayo mwana Adamu ni nje ya mwili wake; bali yeye afanyae zina hufanya dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.


Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike. Waasharati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wa kike, wala wafira,


Lakini ninayo maneno machache juu yako, kwa kuwa unao huko watu washikao mafundisho ya Balaam, yeye aliyemfundisha Balak atie ukwazo mbele ya wana wa Israeli, wavile vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na kuzini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo