Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 10:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Lakini mtu akiwaambieni, Kitu hiki kimetolewa sadaka kwa sanamu, msile, kwa ajili yake yeye aliyekuonyesha, na kwa ajili ya dhamiri; maana dunia ni mali ya Bwana na vitu vyote viijazavyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Lakini mtu akiwaambieni: “Chakula hiki kimetambikiwa sanamu,” basi, kwa ajili ya huyo aliyewaambieni hivyo na kwa ajili ya dhamiri, msile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Lakini mtu akiwaambieni: “Chakula hiki kimetambikiwa sanamu,” basi, kwa ajili ya huyo aliyewaambieni hivyo na kwa ajili ya dhamiri, msile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Lakini mtu akiwaambieni: “Chakula hiki kimetambikiwa sanamu,” basi, kwa ajili ya huyo aliyewaambieni hivyo na kwa ajili ya dhamiri, msile.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Lakini kama mtu yeyote akikuambia, “Hiki kimetolewa sadaka kwa sanamu,” basi usikile kwa ajili ya huyo aliyekuambia na kwa ajili ya dhamiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Lakini kama mtu yeyote akikuambia, “Hiki kimetolewa kafara kwa sanamu,” basi usikile kwa ajili ya huyo aliyekuambia na kwa ajili ya dhamiri.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 10:28
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na ndugu yako akiingia huzuni kwa sababu ya chakula, umeacha kwenda katika upendo. Kwa chakula chako usimharibu mtu yule ambae Kristo alikufa kwa ajili yake.

maana dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.

Bali elimu hii haimo ndani ya watu wote; illa wengine kwa kuizoelea ile sanamu hatta sasa hula kama ni kitu kilichotolewa sadaka kwa sanamu; na dhamiri yao, kwa kuwa dhaifu, hunajisika.

Lakini angalieni huu uwezo wenu usije ukawakwaze wale walio dhaifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo