1 Wakorintho 10:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Na mtu asiyeamini akiwaalika, nanyi mnataka kwenda, kulani killa kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuulizauliza, kwa ajili ya dhamiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Kama mtu ambaye si mwaamini akiwaalikeni nanyi mkakubali kwenda, basi, kuleni vyote atakavyowaandalieni bila kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kama mtu ambaye si mwaamini akiwaalikeni nanyi mkakubali kwenda, basi, kuleni vyote atakavyowaandalieni bila kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kama mtu ambaye si mwaamini akiwaalikeni nanyi mkakubali kwenda, basi, kuleni vyote atakavyowaandalieni bila kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Ukikaribishwa chakula na mtu asiyeamini nawe ukikubali kwenda, kula kila kitu kitakachowekwa mbele yako bila kuuliza maswali kwa ajili ya dhamiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kama ukikaribishwa chakula na mtu asiyeamini nawe ukikubali kwenda, kula kila kitu kitakachowekwa mbele yako bila kuuliza maswali kwa ajili ya dhamiri. Tazama sura |