1 Wakorintho 10:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Mtu asitafute kujifaidia nafsi yake, bali kumfaidia mwenzake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe, bali kila mtu atafute yale yanayowafaa wengine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe, bali kila mtu atafute yale yanayowafaa wengine. Tazama sura |