Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 10:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Hamwezi kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mashetani. Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika Karamu ya Bwana na katika meza ya pepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika Karamu ya Bwana na katika meza ya pepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika Karamu ya Bwana na katika meza ya pepo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Hamwezi kunywa katika kikombe cha Bwana Isa na cha mashetani pia. Hamwezi kuwa na sehemu katika Chakula cha Bwana Isa na katika chakula cha mashetani pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Hamwezi kunywa katika kikombe cha Bwana Isa na cha mashetani pia. Hamwezi kuwa na sehemu katika chakula cha Bwana Isa na katika chakula cha mashetani pia.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 10:21
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hakuna mtu awezae kuwatumikia bwana wawili; kwa maana atamchukia mmoja, na kumpenda wa pili; au atamshika mmoja, na kumtweza wa pili. Hamwezi kumtumikia Mungu na mamona.


Kikombe kile cha baraka tukibarikicho, je! si ushirika wa damu ya Kristo? Mkate ule timmegao, si ushirika wa mwili wti Kristo?


Kwa maana, mtu akikuona wewe uliye na elimu, umeketi chakulani ndani ya hekalu ya sanamu, je! dhamiri yake mtu huyu, kwa kuwa yu dhaifu, haitathubutika hatta ale vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo