Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 10:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 wote wakabatizwa kwa Musa katika wingu na katika bahari;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Wote walibatizwa katika umoja na Mose katika lile wingu na katika ile bahari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Wote walibatizwa katika umoja na Mose katika lile wingu na katika ile bahari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Wote walibatizwa katika umoja na Mose katika lile wingu na katika ile bahari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Wote wakabatizwa kuwa wa Musa ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Wote wakabatizwa kuwa wa Musa ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 10:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

wakabatizwa nae mtoni Yordani, wakiziungama dhambi zao.

Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Yesu Kristo, twalibatizwa katika mauti yake?

Maana ninyi nyote mliobatizwa na kuingizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo