Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 10:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Waangalieni Israeli walivyokuwa kwa jinsi ya mwili; wale wazilao dhabihu, je! hawana shirika na madhbahu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Angalieni kwa mfano Wayahudi wenyewe: Wale wanaokula tambiko wanaungana na hiyo madhabahu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Angalieni kwa mfano Wayahudi wenyewe: Wale wanaokula tambiko wanaungana na hiyo madhabahu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Angalieni kwa mfano Wayahudi wenyewe: wale wanaokula tambiko wanaungana na hiyo madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Waangalieni watu wa Israeli: Je, wale wote walao dhabihu si ni wale watendao kazi madhabahuni?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Waangalieni watu wa Israeli: Je, wale wote walao dhabihu si ni wale watendao kazi madhabahuni?

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 10:18
18 Marejeleo ya Msalaba  

khabari za Mwana wake, aliyekuwa katika ukoo wa Daud kwa jinsi ya mwili,


BASSI, tusemeje? Ibrahimu baba yetu kwa jinsi ya mwili amepata nini?


na baba ya kutahiriwa, si kwa hao waliotahiriwa tu, bali kwa hao waliotahiriwa na kuzifuasa uyayo za imani yake baba yetu Ibrahimu aliyokuwa nayo kabla asijatahiriwa.


Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula sehemu ya vitu vya hekalu, na wale waikhudumiao madhbahu huwa na fungu lao katika vitu vya madhbahu?


Na wote watakaoiendea kanuni hii, amani kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.


Tuna madhbahu ambayo wale waikhudumiao khema bawana rukhusa kula vitu vyake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo