Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 1:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Namshukuru Mungu wangu siku zote kwa ajili yenu, kwa sababu ya neema ya Mungu mliyopewa katika Kristo Yesu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Ninamshukuru Mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia nyinyi neema yake kwa njia ya Kristo Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Ninamshukuru Mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia nyinyi neema yake kwa njia ya Kristo Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Ninamshukuru Mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia nyinyi neema yake kwa njia ya Kristo Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ninamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu kwa sababu ya neema yake mliyopewa katika Al-Masihi Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ninamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu kwa sababu ya neema yake mliyopewa katika Al-Masihi Isa.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 1:4
12 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, illa wale waliojaliwa.


Mimi na Baba yangu tu nmoja.


Mkiomba neno kwa jina langu, hili nitalifanya.


Na mimi nitamwomba Baba, nae atawapa Mfariji mwingine, akaae nanyi hatta milele,


Lakini Mfariji, Roho Mtakatifu, ambae Baba atampeleka kwa jina langu, yeye atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.


Lakini ajapo Mfariji, nitakaewapelekea toka kwa Baba, Roho ya kweli atokae kwa Baba, yeye atanishuhudia.


Nae, alipokwisha kufika na kuiona neema ya Mungu akafurahi, akawasihi wote waambatane na Bwana kwa kusudi la moyo.


Nao waliposikia wakamhimidi Mungu, wakamwambia, Ndugu yetu, unaona kwamba Wayahudi walioamini walivyo elfu nyingi, nao wote wana wivu sana kwa ajili ya torati.


Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inakhubiriwa katika dunia yote.


Lakini Mungu ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake;


Neema na iwe kwenu, na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.


na neema ya Bwana wetu ilizidi sana pamoja na imani na pendo lililo katika Kristo Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo