Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 1:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Namshukuru Mungu, kwa sababu sikumbatiza mtu kwenu, illa Krispo na Gayo; mtu asije akasema kwamba nimebatiza kwa jina langu mwenyewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu. (

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 1:15
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, enendeni, kawafanyeni mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;


wakabatizwa nae mtoni Yordani, wakiziungama dhambi zao.


Yeye anenae kwa nafsi yake tu, hutafuta utukufu wake mwenyewe; bali yeye anaetafuta utukufu wake aliyempeleka, huyu ni wa kweli wala ndani yake hamna udhalimu.


An mlibatizwa kwa jina la Paolo?


Tena nalibatiza watu wa nyumba ya Stefano; zaidi ya hao, sijui kama nalimbatiza mtu mwingine.


Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; maana naliwaposea mume mmoja, nimletee Kristo bikira safi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo