Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 1:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Je! Kristo amegawanyika? Paolo alisulibiwa kwa ajili yenu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulubiwa kwa ajili yenu? Au je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulubiwa kwa ajili yenu? Au je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulubiwa kwa ajili yenu? Au je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Je, Al-Masihi amegawanyika? Je, Paulo ndiye alisulubishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Je, Al-Masihi amegawanyika? Je, Paulo ndiye alisulubishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 1:13
15 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, enendeni, kawafanyeni mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;


wakabatizwa nae mtoni Yordani, wakiziungama dhambi zao.


Akaamuru wabatizwe kwa Jina lake Yesu Kristo. Ndipo wakamsihi azidi kukaa siku kadha wa kadha.


Waliposikia baya wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.


Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe killa mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.


kwa maana bado hajawashukia hatta mmoja wao, illa wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu.


Maana Kristo alikufa akafufuka akawa hayi tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hayi pia.


Namshukuru Mungu, kwa sababu sikumbatiza mtu kwenu, illa Krispo na Gayo; mtu asije akasema kwamba nimebatiza kwa jina langu mwenyewe.


wote wakabatizwa kwa Musa katika wingu na katika bahari;


Maana yeye ajae akikhubiri Yesu mwingine ambae sisi hatukumkhubiri, au mkipokea Roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumilia nae.


mkageukia injili ya namna nyingine; wala si nyingine. Lakini wapo watu wawataabishao na watakao kuigeuza injili ya Kristo.


Bwana mmoja, imani moja, ubatizo umoja,


aliyejitoa nafsi yake kwa ajili yetu, illi atuokoe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake, walio na juhudi kwa matendo mema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo