Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Timotheo 6:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 bali tukiwa na chakula na nguo tutaridhika na vitu hivyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Lakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Lakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo.

Tazama sura Nakili

1 Timotheo 6:8
12 Marejeleo ya Msalaba  

Utupe leo riziki zetu.

Si kwamba nasema haya kwa kuwa nina mahitaji; maana nimejifunza kuwa radhi na hali yo yote niliyo nayo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo