1 Timotheo 6:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena ni dhahiri va kuwa hatuwezi kutoka na kitu Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu. Tazama sura |