Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Timotheo 6:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Lakini utawa pamoja na kuridhia ni faida nyingi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Kweli kumcha Mungu humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kweli kumcha Mungu humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Kweli kumcha Mungu humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa.

Tazama sura Nakili




1 Timotheo 6:6
23 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Angalieni, jilindeni na kutamani, maana uzima wa mtu hautoki katika mali zake, kwa sababu ana wingi wa mali.


Askari nao wakamwuliza wakisema, Nasi tufanyeni? Akawaambia, Msimtende jeuri mtu aliye yote, wala msitoze kitu bila haki; tena mwe radhi na mshsahara wenu.


Na twajua ya kuwa mambo yote hushiriki kazi moja, ndio kuwapatia mema wale wampendao Mungu, yaani wale walioitwa kwa kusudi lake.


Maana mateso mepesi yetu, yaliyo ya muda wa kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele ulio mwingi sana zaidi;


Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.


Jitahidi kupata utawa. Maana, kujitahidi kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, hali utawa hufaa kwa mambo yote; maana nna ahadi ya uzima wa sasa na wa ule utakaokuwa.


bali tukiwa na chakula na nguo tutaridhika na vitu hivyo.


Msiwe na tabia ya kupenda fedha: mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo