1 Timotheo 5:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Mjane aandikwe, ikiwa umri wake amepata miaka sittini, isipungue, nae amekuwa mke wa mume mmoja, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Usimtie katika orodha ya wajane mjane yeyote ambaye hajatimiza miaka sitini. Tena awe amepata kuolewa mara moja tu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Usimtie katika orodha ya wajane mjane yeyote ambaye hajatimiza miaka sitini. Tena awe amepata kuolewa mara moja tu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Usimtie katika orodha ya wajane mjane yeyote ambaye hajatimiza miaka sitini. Tena awe amepata kuolewa mara moja tu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mjane yeyote asiwekwe kwenye orodha ya wajane isipokuwa awe ametimiza umri wa miaka sitini, na amekuwa mke wa mume mmoja; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mjane yeyote asiwekwe kwenye orodha ya wajane isipokuwa awe ametimiza umri wa miaka sitini, na ambaye alikuwa mke wa mume mmoja, Tazama sura |