Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Timotheo 5:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Vivyo hivyo matendo mazuri ni dhahiri; na yale yasiyo dhahiri hayawezi kusetiriwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Vivyo hivyo, matendo mema huonekana waziwazi, na hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Vivyo hivyo, matendo mema huonekana waziwazi, na hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Vivyo hivyo, matendo mema huonekana waziwazi, na hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Vivyo hivyo, matendo mema yako dhahiri, na hata yale yasiyo dhahiri hayawezi kufichika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Vivyo hivyo, matendo mema yako dhahiri, na hata yale ambayo si mema hayawezi kufichika.

Tazama sura Nakili




1 Timotheo 5:25
13 Marejeleo ya Msalaba  

Vivi hivi nuru yenu iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wakamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.


Hapana mtu awashae taa na kuiweka mahali pa siri au chini va pishi, bali huiweka juu ya kibao cha kuwekea taa: illi waingiao wanone mwanga.


Wakasema, Kornelio akida, mtu mwenye haki, mcha Mungu, aliye na sifa njema kwa taifa lote la Wayahudi, alionywa na malaika mtakatifu kutuma watu kwako, uende nyumbani kwake, apate kusikiliza maneno yako.


Bassi mtu mmoja, Anania, mcha Mungu kwa kuifuata sharia, aliyeshuhudiwa na Wayahudi wote waliokaa huko, akanijia, akasimama karibu nami, akaniambia, Ndugu, Saul, uone.


Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yoppa, jina lake Tabitha, (tafsiri yake ni paa:) mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.


mmejazwa matuuda ya haki, kwa njia ya Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa ya Mungu.


Imempasa tena kushuhudiwa mazuri na watu walio nje; asitumbukie katika lawama na mtego wa Shetani.


Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Wa kheri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; na matendo yao yafuatana nao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo