1 Timotheo 4:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Neno hili ni amini, lastahili kukubaliwa na wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa, Tazama sura |