Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Timotheo 4:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Kwa maana killa kiumhe cha Mungu ni kizuri, waki hakuma cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kila kitu alichoumba Mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kila kitu alichoumba Mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kila kitu alichoumba Mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kwa maana kila kitu alichokiumba Mungu ni chema, wala hakuna kitu chochote cha kukataliwa kama kikipokewa kwa shukrani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kwa maana kila kitu alichokiumba Mwenyezi Mungu ni chema, wala hakuna kitu chochote cha kukataliwa kama kikipokewa kwa shukrani,

Tazama sura Nakili




1 Timotheo 4:4
15 Marejeleo ya Msalaba  

Sauti ikamjia marra ya pili, Kilichotakaswa na Mungu, usikiite najis.


mjiepushe na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na nyama zilizosongwa, na asharati. Mkijizuia na hayo, mtafanya vema. Salamu.


Kwa khabari za watu wa mataifa walioamini, tumekwisha kutoa hukumu yetu, wsio wasishike neno linginelo illa kujilinda nafsi zao na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na kitu kilichosongwa, na uasharati.


Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najis asili yake, lakini kwake huyu akionae kitu kuwa najis, kwake huyo kitu kile ni najis.


Kwa ajili ya chakula usiiharibu kazi ya Mungu. Vyote ni safi; bali ni vibaya mtu kula akajikwaza.


Yeye aadhimishae siku, kwa Bwana aiadhimisha; na yeye asiyeadhimisha siku, haiadhimishi kwa Bwana; nae alae, hula kwa Bwana, kwa maana amshukuru Mungu; nae asiokula, hali kwa Bwana, nae amshukuru Mungu.


Vitu vyote ni halali kwangu; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali kwangu; hali si vitu vyote vijengavyo.


Killa kitu kiuzwacho sokoni kulani, bila kuulizauliza, kwa ajili ya dhamiri;


maana dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.


Na nikitumia sehemu yangu kwa shukrani, kwa nini nitukanwe, kwa ajili ya kitu nikishukuriacho?


wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru kujiepusha na vyakula ambavyo Mungu aliviumba vopokewe kwa shukrani na walio na imani na wenye kuijua sana kweli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo