Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Timotheo 3:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 (mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje kanisa la Mungu?)

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kundi la waumini la Mungu?)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kundi la waumini la Mwenyezi Mungu?)

Tazama sura Nakili




1 Timotheo 3:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Jiangalieni nafsi zenu, na kundi lote, ambalo Roho Mtakatifu aliwakabidhi mlisimamie, kanisa lake Mungu, alilojipatia kwa damu yake mwenyewe.


Msiwakoseshe Wayahudi wala Wayunaui wala Kanisa la Mungu:


akavitia vitu vyote chini ya miguu yake, akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajiii ya kanisa,


Kwa hivyo kama Kanisa limtumikiavyo Kristo, vivyo hivyo nao wake wawatumikie waume zao katika killa jambo.


Hii ni siri kubwa; lakini nanena khabari ya Kristo na Kanisa.


Lakini nikikawia, upate kujua sana jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu iliyo kanisa la Mungu aliye hayi, nguzo na msingi wa kweli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo