Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Timotheo 3:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 mwenye kusimamia vema nyumba yake, ajuae kuwatiisha watoto wake pamoja na kustahiwa;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia.

Tazama sura Nakili

1 Timotheo 3:4
10 Marejeleo ya Msalaba  

mtu nitawa, mcha Mungu, yeye na nyumba yake yote, nae alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu siku zote.

Kwa hivyo kama Kanisa limtumikiavyo Kristo, vivyo hivyo nao wake wawatumikie waume zao katika killa jambo.

Khatimae, ndugu zangu, mambo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya heshima, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye kuvuma vizuri, ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini haya.

Mashemasi wawe na mke mmoja, wakiwasimamia watoto wao vizuri, na nyumba zao.

ikiwa mtu hakushitakiwa neno, nae ni mume wa mke mmoja, ana watoto waaminio, wasioshitakiwa kuwa ni asharati na wasiotii.

ya kama wazee wawe wenye kujimudu nafsi zao, wenye adahu, wenye kiasi, wazima katika imani na katika upendo na katika uvumilivu.

katika mambo yote ukijionyesha kuwa namna ya matendo mema, katika mafundisho yako ukionyesha usahihi na ustahifu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo