Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Timotheo 3:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Nakuandikia haya, nikitaraja kuja kwako karibu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Ingawa ninatarajia kuja kwako hivi karibuni, ninakuandikia maagizo haya sasa ili,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Ingawa ninatarajia kuja kwako hivi karibuni, ninakuandikia maagizo haya sasa ili kwamba,

Tazama sura Nakili




1 Timotheo 3:14
11 Marejeleo ya Msalaba  

mtu akiwa na njaa, ale nyumbani; msipate kukutanika kwa hukumu. Nayo yaliyosalia nijapo nitayatengeneza.


Kwa hiyo tulitaka kuja kwenu, naam, mimi Paolo, marra ya kwanza, na marra ya pili. Shelani akatuzuia.


Kwa maana watendao kazi ya ushemasi vema hujipatia daraja nzuri, na ujasiri mwingi katika imani iliyo katika Kristo Yesu.


Lakini nikikawia, upate kujua sana jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu iliyo kanisa la Mungu aliye hayi, nguzo na msingi wa kweli.


Hatta nijapo, fanya bidii katika kusoma na kuonya ua kufundisha.


Na pamoja na hayo uniwekee tayari mahali pa kukaa: maana nataraja ya kwamba kwa maombi yenu mtajaliwa kunipata.


Jueni ya kuwa ndugu yetu Timotheo amekwisha kufunguliwa; pamoja nae nitawaoneni, kama akija upesi.


Kwa kuwa nina maneno mengi ya kuwa-andikia, sitaki kuyaandika kwa karatasi na wino; lakini nataraja kuja kwenu, na kusema nanyi mdo-mo kwa mdomo, illi furaha yenu itimizwe.


Lakini nataraja kukuona karibu na kusema nawe mdomo kwa mdonm.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo