Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Timotheo 3:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Mashemasi wawe na mke mmoja, wakiwasimamia watoto wao vizuri, na nyumba zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye kuongoza vema watoto wake na nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye kuongoza vema watoto wake na nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye kuongoza vema watoto wake na nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Shemasi awe mume wa mke mmoja, na aweze kusimamia watoto wake na watu wa nyumbani mwake vyema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Shemasi awe mume wa mke mmoja na inampasa aweze kusimamia watoto wake na watu wa nyumbani mwake vyema.

Tazama sura Nakili




1 Timotheo 3:12
4 Marejeleo ya Msalaba  

PAOLO na Timotheo, watumwa wa Yesu Kristo, kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu, walio katika Filipi, pamoja na maaskofu na wakhudumu;


Bassi imempasa askofu kuwa mtu asiyelaumiwa, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, mfundishaji;


Vivi hivi mashemasi, wawe watu wa utaratibu, si wenye nia mbili, si watu wa kutumia mvinyo nyingi, wawe watu wasiotamani fedha ya aibu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo