Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Timotheo 3:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Na hawa pia wajaribiwe kwanza; baadae watumie daraja ya ushemasi, wakiisha kuonekana hawana khatiya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Ni lazima wapimwe kwanza; kisha kama hakuna neno dhidi yao, basi na waruhusiwe kuhudumu kama mashemasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Ni lazima wapimwe kwanza; kisha kama hakuna neno dhidi yao, basi na waruhusiwe kuhudumu kama mashemasi.

Tazama sura Nakili

1 Timotheo 3:10
9 Marejeleo ya Msalaba  

na yeye atawathubutisheni hatta mwisho, msilaumiwe siku ile ya Bwana wetu Yesu Kristo.

katika mwili wa nyama yake, kwa kufa kwake, illi awalete ninyi mbele zake, watakatifu, hamna mawaa wala lawama,

Kwa maana watendao kazi ya ushemasi vema hujipatia daraja nzuri, na ujasiri mwingi katika imani iliyo katika Kristo Yesu.

Bassi imempasa askofu kuwa mtu asiyelaumiwa, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, mfundishaji;

si mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna, akaanguka katika hukumu ya Shetani.

Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usishiriki dhambi za watu wengine.

WAPENZI, msiamini kiila rolio, bali zijaribuni roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uwongo wengi wametokea duniani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo