1 Timotheo 2:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Na Adamu hakudanganywa, bali mwanamke akidanganywa aliingia hali ya kukosa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. Tazama sura |