1 Timotheo 2:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Simpi mwanamke rukhusa kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali kuwa katika utulivu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. Tazama sura |