1 Timotheo 1:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Lakini twajua ya kuwa sharia ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia ya kisharia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa. Tazama sura |