Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Petro 5:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 mkimtwika yeye taabu zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana katika mambo yenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye anajishughulisha sana na mambo yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu.

Tazama sura Nakili




1 Petro 5:7
23 Marejeleo ya Msalaba  

Yupi katika ninyi awezae kwa kusumbuka kujiongeza kimo chake mkono mmoja?


Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini khabari za maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayatendi kazi, wala hayasokoti:


Msisumbuke, bassi, mkinena, Tuleni? au, Tunyweni? au, Tuvaeni?


Yeye mwenyewe alikuwa katika shetri, amelala juu ya mto: wakamwamsha, wakamwambia, Mwalimu, si kitu kwako kuwa tunapotea?


Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hii nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mleni: wala miili yenu mvaeni.


Bassi ikiwa hamwezi hatta neno lililo dogo, ya nini kujisumbulia mambo mengine?


Mtu wa mshahara hukimhia kwa kuwa ni mtu wa mshahara, wala hatii moyoni mambo ya kondoo.


Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika killa neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu zijulike kwa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo