Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Petro 4:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 mwe wakaribishaji ninyi kwa ninyi, pasipo kunnngʼunika;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kuweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manung’uniko.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kuweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manung’uniko.

Tazama sura Nakili




1 Petro 4:9
11 Marejeleo ya Msalaba  

kwa mahitaji ya watakatifu, mkiwashirikisha; katika kukaribisha wageni, mkijitahidi.


Gayo, mwenyeji wangu na wa Kanisa lote pia awasalimu. Erasto, wakili wa mji awasalimu, na Kwarto, ndugu yetu.


Killa mtu na atende alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoae kwa moyo wa ukunjufu.


Yatendeni mambo yote pasipo manungʼuniko na mashindano,


Bassi imempasa askofu kuwa mtu asiyelaumiwa, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, mfundishaji;


bali awe mkaribishaji, mpenda wema, mwenye kiasi, mwenye haki, mtakatifu, mwenye kujimudu nafsi yake;


lakini slkutaka kuteuda neno isipokuwa kwa shauri lako, illi wema wako usiwe kama kwa shuruti, hali kwa khiari yako.


Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana na watu; maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu.


Msisahau kuwafadhilia wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.


Msinungʼunikiane, ndugu, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo