Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Petro 3:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombo yao: Bali uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Mwenyezi Mungu uko kinyume na watendao maovu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kwa maana macho ya Mwenyezi Mungu huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Mwenyezi Mungu uko kinyume na watendao maovu.”

Tazama sura Nakili




1 Petro 3:12
21 Marejeleo ya Msalaba  

Twajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi: bali mtu akiwa mcha Mungu, na kufanya mapenzi yake, huyo amsikia.


Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo