Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Petro 3:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kwa maana, Atakae kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie nlimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Anayetaka kufurahia maisha, na kuona siku za fanaka, ajizuie asiseme mabaya aepe kusema uongo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Anayetaka kufurahia maisha, na kuona siku za fanaka, ajizuie asiseme mabaya aepe kusema uongo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Anayetaka kufurahia maisha, na kuona siku za fanaka, ajizuie asiseme mabaya aepe kusema uongo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kwa maana, “Yeyote apendaye uzima na kuona siku njema, basi auzuie ulimi wake usinene mabaya, na midomo yake isiseme hila.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kwa maana, “Yeyote apendaye uzima na kuona siku njema, basi auzuie ulimi wake usinene mabaya, na midomo yake isiseme hila.

Tazama sura Nakili

1 Petro 3:10
24 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Ya nini kuniita mwema? Hakuna mwema illa mmoja, ndiye Mungu. Lakini ukitaka kuingia katika nzima, zishike amri.

Kwa maana atakae kuisalimisha roho yake, ataiangamiza, na mtu atakaeitoa roho yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya injili, huyu ataisalimisha.

Yesu akamwona Nathanaeli akija kwake, akamtaja khabari zake, Tazama, huyu ni Mwisraeli kweli kweli, hamna hila ndani yake.

Aipendae roho yake ataiangamiza; nae aichukiae roho yake katika ulimwengu huu ataihifadhi hatta uzima wa milele.

Mtu akidhani ya kuwa ana dini, nae hazuii ulimi wake kwa khatamu, akijidanganya moyo wake, dini yake mtu yule haifai.

BASSI, mkiwekea mbali uovu wote na hila yote na unafiki na husuda na niasingizio yote,

yeye hakutenda dhambi, wala hila haikuonekana kinywani mwake;

Na katika vinywa vyao haikuonwa bila. Maana hawana mawaa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo