1 Petro 2:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa khofu nyingi; sio wao walio wema na wenye upole fu, bali nao walio wakali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wema na wapole peke yao, bali pia wale walio wakali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wema na wapole peke yao, bali pia wale walio wakali. Tazama sura |