1 Petro 2:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 ikiwa wakubwa, kama wanaotumwa nae kuwalipiza kisasi watenda mabaya na kuwasifu watenda mema; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 au wawe maafisa aliowaweka. Kwa kuwa mfalme amewatuma ili kuwaadhibu wale wanaokosa, na kuwapongeza wale wanaotenda mema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 au kwa maafisa aliowaweka, kwa kuwa mfalme amewatuma ili kuwaadhibu wale wanaokosa, na kuwapongeza wale watendao mema. Tazama sura |