1 Petro 1:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Maana, Mwili wote kama majani, Na utukufu wake wote kama ua la majaui. Majani hukauka na ua lake huanguka; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Kama Maandiko yasemavyo: “Kila binadamu ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la majani. Majani hunyauka na maua huanguka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Kama Maandiko yasemavyo: “Kila binadamu ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la majani. Majani hunyauka na maua huanguka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Kama Maandiko yasemavyo: “Kila binadamu ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la majani. Majani hunyauka na maua huanguka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Maana, “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao wote ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Maana, “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka, Tazama sura |