1 Petro 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 kama vile Mungu alivyotangulia kuwajua tangu milele katika utakaso wa Roho, hatta wakapata kutii na kunyunyizwa damu ya Yesu Kristo; Neema na amani ziongezwe kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mungu Baba aliwateua nyinyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na Roho, mpate kumtii Yesu Kristo na kusafishwa kwa damu yake. Nawatakieni neema na amani tele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mungu Baba aliwateua nyinyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na Roho, mpate kumtii Yesu Kristo na kusafishwa kwa damu yake. Nawatakieni neema na amani tele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mungu Baba aliwateua nyinyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na Roho, mpate kumtii Yesu Kristo na kusafishwa kwa damu yake. Nawatakieni neema na amani tele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ni ninyi ambao mlichaguliwa tangu mwanzo na Mungu Baba Mwenyezi kulingana na alivyotangulia kuwajua, kupitia kwa kazi ya utakaso wa Roho wa Mungu, katika utiifu kwa Isa Al-Masihi na kunyunyiziwa damu yake. Neema na amani ziwe kwenu kwa wingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ni ninyi ambao mlichaguliwa tangu mwanzo na Mungu Baba kulingana na alivyotangulia kuwajua, kupitia kwa kazi ya utakaso wa Roho wa Mwenyezi Mungu, katika utiifu kwa Isa Al-Masihi na kunyunyiziwa damu yake: Neema na amani ziwe kwenu kwa wingi. Tazama sura |