1 Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini.
2 Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa BWANA ni wa milele.
Swahili Revised Union Version Bible © Bible Society of Kenya, and Bible Society of Tanzania, 2005.