Nani wewe, Ee mlima mkubwa? Mbele ya Zerubabeli utakuwa nchi tambarare; naye atalileta lile jiwe la kuwekwa juu kabisa pamoja na vigelegele vya, Neema, neema, ilikalie.
Zekaria 4:8 - Swahili Revised Union Version Tena neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Kisha neno la Mwenyezi Mungu likanijia: Neno: Maandiko Matakatifu Kisha neno la bwana likanijia: BIBLIA KISWAHILI Tena neno la BWANA likanijia, kusema, |
Nani wewe, Ee mlima mkubwa? Mbele ya Zerubabeli utakuwa nchi tambarare; naye atalileta lile jiwe la kuwekwa juu kabisa pamoja na vigelegele vya, Neema, neema, ilikalie.
Mikono yake Zerubabeli imeiweka misingi ya nyumba hii, na mikono yake ndiyo itakayoimaliza; nawe utajua ya kuwa BWANA wa majeshi amenituma kwenu.
Nao walio mbali watakuja na kusaidia kujenga hekalu la BWANA, nanyi mtajua ya kuwa BWANA wa majeshi amenituma kwenu. Na haya yatatokea, kama mkijitahidi kuitii sauti ya BWANA, Mungu wenu.