Na kwa habari zenu, Enyi kundi langu, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nahukumu kati ya mnyama na mnyama, kondoo dume na mbuzi dume pia.
Yuda 1:22 - Swahili Revised Union Version Wahurumieni wengine walio na mashaka, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Muwe na huruma kwa watu walio na mashaka; Biblia Habari Njema - BHND Muwe na huruma kwa watu walio na mashaka; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Muwe na huruma kwa watu walio na mashaka; Neno: Bibilia Takatifu Wahurumieni walio na mashaka; Neno: Maandiko Matakatifu Wahurumieni walio na mashaka; BIBLIA KISWAHILI Wahurumieni wengine walio na mashaka, |
Na kwa habari zenu, Enyi kundi langu, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nahukumu kati ya mnyama na mnyama, kondoo dume na mbuzi dume pia.
laiti ningekuwapo pamoja nanyi sasa, na kuigeuza sauti yangu! Maana naona shaka kwa ajili yenu.
Ndugu zangu, mtu akishikwa katika kosa lolote, ninyi mlio wa Roho mrejesheni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.
jilindeni katika upendo wa Mungu, huku mkingojea rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo, hata mpate uzima wa milele.
na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili.