Siku ile BWANA alimtukuza Yoshua mbele ya macho ya Israeli wote; nao wakamcha, kama walivyokuwa wakimcha Musa, siku zote za maisha yake.
Yoshua 4:15 - Swahili Revised Union Version Kisha BWANA akanena na Yoshua, akamwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Yoshua, Biblia Habari Njema - BHND Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Yoshua, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Yoshua, Neno: Bibilia Takatifu Basi Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua, Neno: Maandiko Matakatifu Basi bwana akamwambia Yoshua, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Yoshua, akamwambia, |
Siku ile BWANA alimtukuza Yoshua mbele ya macho ya Israeli wote; nao wakamcha, kama walivyokuwa wakimcha Musa, siku zote za maisha yake.
Haya, uwaamuru makuhani, hao waliolichukua sanduku la ushuhuda, kwamba wakwee juu kutoka mle katika Yordani.