Piteni katika kambi, mkawaamuru hao watu, mkisema, Tayarisheni vyakula; kwa maana baada ya siku tatu mtavuka mto huu wa Yordani, ili kuingia na kuimiliki nchi awapayo BWANA, Mungu wenu, mpate kuimiliki.
Yoshua 1:10 - Swahili Revised Union Version Ndipo Yoshua akawaamuru viongozi wa watu, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu, Biblia Habari Njema - BHND Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu, Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Yoshua akawaagiza maafisa wa watu akisema, Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Yoshua akawaagiza maafisa wa watu akisema, BIBLIA KISWAHILI Ndipo Yoshua akawaamuru viongozi wa watu, akisema, |
Piteni katika kambi, mkawaamuru hao watu, mkisema, Tayarisheni vyakula; kwa maana baada ya siku tatu mtavuka mto huu wa Yordani, ili kuingia na kuimiliki nchi awapayo BWANA, Mungu wenu, mpate kuimiliki.
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.