Yohana 6:48 - Swahili Revised Union Version Mimi ndimi chakula cha uzima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi ni mkate wa uhai. Biblia Habari Njema - BHND Mimi ni mkate wa uhai. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi ni mkate wa uhai. Neno: Bibilia Takatifu Mimi ni mkate wa uzima. Neno: Maandiko Matakatifu Mimi ni mkate wa uzima. BIBLIA KISWAHILI Mimi ndimi chakula cha uzima. |
Basi Wayahudi wakamnung'unikia, kwa sababu alisema, Mimi ni chakula kilichoshuka kutoka mbinguni.
Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni; mtu akila chakula hiki, ataishi milele. Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu, kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.