Naye Yesu akafahamu, akawaambia, Mbona mnabishana ninyi kwa ninyi, enyi wa imani haba, kwa sababu hamna mikate?
Yohana 6:43 - Swahili Revised Union Version Basi Yesu akajibu, akawaambia, Msinung'unike ninyi kwa ninyi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawaambia, “Acheni kunungunika nyinyi kwa nyinyi. Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawaambia, “Acheni kunungunika nyinyi kwa nyinyi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawaambia, “Acheni kunung'unika nyinyi kwa nyinyi. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo Isa akawaambia, “Acheni kunung’unikiana ninyi kwa ninyi. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo Isa akawaambia, “Acheni kunung’unikiana ninyi kwa ninyi. BIBLIA KISWAHILI Basi Yesu akajibu, akawaambia, Msinung'unike ninyi kwa ninyi. |
Naye Yesu akafahamu, akawaambia, Mbona mnabishana ninyi kwa ninyi, enyi wa imani haba, kwa sababu hamna mikate?
Yesu alifahamu ya kwamba wanataka kumwuliza, akawaambia, Ndilo hilo mnaloulizana, ya kuwa nilisema, Bado kitambo kidogo nanyi hamnioni, na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona?
Wakasema, Je! Huyu siye Yesu, mwana wa Yusufu, ambaye twamjua babaye na mamaye? Sasa asemaje huyu, Nimeshuka kutoka mbinguni?
Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenituma; nami nitamfufua siku ya mwisho.
Lakini kuna wengine miongoni mwenu wasioamini. Kwa maana Yesu alijua tangu mwanzo ni nani wasioamini, naye ni nani atakayemsaliti.
Wala hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake, maana vitu vyote ni tupu na kuwekwa wazi machoni pake yeye ambaye tunapaswa kuwajibika kwake.