Yohana 6:4 - Swahili Revised Union Version Na Pasaka, sikukuu ya Wayahudi, ilikuwa karibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sikukuu ya Wayahudi iitwayo Pasaka ilikuwa imekaribia. Biblia Habari Njema - BHND Sikukuu ya Wayahudi iitwayo Pasaka ilikuwa imekaribia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sikukuu ya Wayahudi iitwayo Pasaka ilikuwa imekaribia. Neno: Bibilia Takatifu Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia. Neno: Maandiko Matakatifu Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia. BIBLIA KISWAHILI Na Pasaka, sikukuu ya Wayahudi, ilikuwa karibu. |
Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu; na wengi wakakwea toka mashambani kwenda Yerusalemu kabla ya Pasaka, ili wajitakase.
Basi, siku sita kabla ya Pasaka, Yesu alifika Bethania, alipokuwapo Lazaro, yeye ambaye Yesu alimfufua katika wafu.
Basi, kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu, huku akijua ya kuwa saa yake imefika, atakayotoka katika ulimwengu kwenda kwa Baba, naye akiwa amewapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapenda upeo.
Utunze mwezi wa Abibu, ukamfanyie Pasaka BWANA, Mungu wako, kwa kuwa ilikuwa ni mwezi wa Abibu alipokutoa Misri usiku BWANA; Mungu wako.