Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki wawili, tusipokwenda tukawanunulie watu hawa wote vyakula.
Yohana 4:8 - Swahili Revised Union Version Kwa maana wanafunzi wake wamekwenda mjini kununua chakula. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema (Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.) Biblia Habari Njema - BHND (Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.) Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza (Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.) Neno: Bibilia Takatifu (Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wameenda mjini kununua chakula.) Neno: Maandiko Matakatifu (Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.) BIBLIA KISWAHILI Kwa maana wanafunzi wake wamekwenda mjini kununua chakula. |
Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki wawili, tusipokwenda tukawanunulie watu hawa wote vyakula.
Mara hiyo wakaja wanafunzi wake, wakastaajabu kwa sababu alikuwa akisema na mwanamke; lakini hakuna aliyesema, Unatafuta nini? Au, Mbona unasema naye?
Na katika mji ule Wasamaria wengi walimwamini kwa sababu ya neno la yule mwanamke, aliyeshuhudia kwamba, Aliniambia mambo yote niliyoyatenda.
Basi akafika katika mji wa Samaria, uitwao Sikari, karibu na lile shamba ambalo Yakobo alimpa Yusufu mwanawe.