Nami ni maskini na mhitaji, Bwana atanitunza. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.
Yohana 4:49 - Swahili Revised Union Version Yule ofisa akamwambia, Bwana, ushuke mtoto wangu asije akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huyo ofisa akamwambia, “Bwana, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa.” Biblia Habari Njema - BHND Huyo ofisa akamwambia, “Bwana, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huyo ofisa akamwambia, “Bwana, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa.” Neno: Bibilia Takatifu Yule afisa wa mfalme akamwambia, “Bwana, tafadhali shuka kabla mwanangu hajafa.” Neno: Maandiko Matakatifu Yule afisa wa mfalme akamwambia, “Bwana, tafadhali shuka kabla mwanangu hajafa.” BIBLIA KISWAHILI Yule ofisa akamwambia, Bwana, ushuke mtoto wangu asije akafa. |
Nami ni maskini na mhitaji, Bwana atanitunza. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.
akimsihi sana, akisema, Binti yangu mdogo yuko karibu kufa; nakuomba uje, uweke mkono wako juu yake, apate kupona, na kuishi.
Yesu akamwambia, Nenda; mwanao yu hai. Mtu yule akaliamini lile neno aliloambiwa na Yesu, naye akashika njia.