Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote ya kwamba yeye ndiye Kristo.
Yohana 4:26 - Swahili Revised Union Version Yesu akamwambia, Mimi ninayesema nawe, ndiye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akamwambia, “Mimi ninayeongea nawe, ndiye.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akamwambia, “Mimi ninayeongea nawe, ndiye.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akamwambia, “Mimi ninayeongea nawe, ndiye.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.” BIBLIA KISWAHILI Yesu akamwambia, Mimi ninayesema nawe, ndiye. |
Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote ya kwamba yeye ndiye Kristo.
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
Na tazama, wako walio wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, na wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.
Tangu sasa nawaambia kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini ya kuwa mimi ndiye.
Kwa hiyo niliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.
Basi Yesu akawaambia, Mtakapokuwa mmekwisha kumwinua Mwana wa Adamu, ndipo mtakapofahamu ya kuwa mimi ndiye; na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu, ila kama Baba alivyonifundisha ndivyo ninenavyo.