Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.
Yohana 17:7 - Swahili Revised Union Version Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako. Biblia Habari Njema - BHND Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako. Neno: Bibilia Takatifu Sasa wamejua ya kuwa vyote ulivyonipa vimetoka kwako, Neno: Maandiko Matakatifu Sasa wamejua ya kuwa vyote ulivyonipa vimetoka kwako, BIBLIA KISWAHILI Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako. |
Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.
Na yote aliyo nayo Baba ni yangu; kwa hiyo nilisema ya kwamba atatwaa katika yaliyo yangu, na kuwapasheni habari.
Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika.
Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; nao wakayapokea, wakajua hakika ya kuwa nilitoka kwako, wakasadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
Basi Yesu akawaambia, Mtakapokuwa mmekwisha kumwinua Mwana wa Adamu, ndipo mtakapofahamu ya kuwa mimi ndiye; na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu, ila kama Baba alivyonifundisha ndivyo ninenavyo.