Kama nisingalikuja na kusema nao, wasingalikuwa na dhambi; lakini sasa hawana kisingizio kwa dhambi yao.
Yohana 15:23 - Swahili Revised Union Version Yeye anichukiaye mimi humchukia na Baba yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anayenichukia mimi, anamchukia na Baba yangu pia. Biblia Habari Njema - BHND Anayenichukia mimi, anamchukia na Baba yangu pia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anayenichukia mimi, anamchukia na Baba yangu pia. Neno: Bibilia Takatifu Yeyote anayenichukia mimi, anamchukia pia na Baba yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Yeyote anayenichukia mimi, anamchukia pia na Baba yangu. BIBLIA KISWAHILI Yeye anichukiaye mimi humchukia na Baba yangu. |
Kama nisingalikuja na kusema nao, wasingalikuwa na dhambi; lakini sasa hawana kisingizio kwa dhambi yao.
Kama nisingalitenda kwao kazi asizozitenda mtu mwingine, wasingalikuwa na dhambi; lakini sasa wametuona mimi na Baba yangu, na kutuchukia.
Kila apitaye cheo, wala asidumu katika mafundisho ya Kristo, yeye hana Mungu. Yeye adumuye katika mafundisho hayo, huyo ana Baba na Mwana pia.