Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?
Yohana 11:26 - Swahili Revised Union Version naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?” Biblia Habari Njema - BHND na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?” Neno: Bibilia Takatifu na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?” Neno: Maandiko Matakatifu na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?” BIBLIA KISWAHILI naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? |
Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?
Naye alipofika nyumbani, wale vipofu walimwendea; Yesu akawaambia, Mnaamini kwamba naweza kufanya hili? Wakamwambia, Naam, Bwana.
Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.
lakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele.
Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenituma ana uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
Yesu akasikia kwamba wamemtoa nje; naye alipomwona alisema, Wewe wamwamini Mwana wa Mungu?
kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyaua matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi.