Yohana 1:2 - Swahili Revised Union Version Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tangu mwanzo Neno alikuwa na Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Tangu mwanzo Neno alikuwa na Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tangu mwanzo Neno alikuwa na Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu. BIBLIA KISWAHILI Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. |
Ndipo nilipokuwa pamoja naye, kama stadi wa kazi; Nikawa furaha yake kila siku; Nikifurahi daima mbele zake;
Nami nikisema, Sitamtaja, wala sitasema tena kwa jina lake; basi, ndipo moyoni mwangu kumekuwamo kama moto uwakao, uliofungwa ndani ya mifupa yangu, nami nimechoka kwa kustahimili, wala siwezi kujizuia.