Je! Waweza kuhesabu miezi yao watakayoitimiza? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu?
Yobu 39:3 - Swahili Revised Union Version Wao hujiinamisha, kuzaa watoto wao, Watupa taabu zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao? Biblia Habari Njema - BHND “Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao? Neno: Bibilia Takatifu Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; uchungu wa kuzaa unakoma. Neno: Maandiko Matakatifu Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; utungu wa kuzaa unakoma. BIBLIA KISWAHILI Wao hujiinamisha, kuzaa watoto wao, Watupa taabu zao. |
Je! Waweza kuhesabu miezi yao watakayoitimiza? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu?
Watoto wao wako katika hali nzuri, hukua katika bara wazi; Huenda zao, wala hawarudi tena.