Yobu 26:9 - Swahili Revised Union Version Husitiri uso wa kiti chake cha enzi, Na kulitandaza wingu lake juu yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huufunika uso wa mwezi na kutandaza juu yake wingu. Biblia Habari Njema - BHND Huufunika uso wa mwezi na kutandaza juu yake wingu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huufunika uso wa mwezi na kutandaza juu yake wingu. Neno: Bibilia Takatifu Huufunika uso wa mwezi mpevu, akitandaza mawingu juu yake. Neno: Maandiko Matakatifu Huufunika uso wa mwezi mpevu, akitandaza mawingu juu yake. BIBLIA KISWAHILI Husitiri uso wa kiti chake cha enzi, Na kulitandaza wingu lake juu yake. |
Asikwee mtu pamoja nawe, wala asionekane mtu yeyote katika huo mlima; wala kondoo na ng'ombe wasilishwe mbele ya huo mlima.
ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.